Mzozo wa kibinaadamu na mawasiliano

Pripyat and Chernobyl zilihamwa baada ya vinu kulipuka mwaka wa 1986 © R.Vicups/Shutterstock
Pripyat and Chernobyl zilihamwa baada ya vinu kulipuka mwaka wa 1986 © R.Vicups/Shutterstock

vita vya kisasa huleta uharibifu wa mfumo wa ikolojia, ikitofautiana kutoka kwa matumizi mengi ya mimea na wanyama na uchafuzi, inayoua makaazi, kwa kutoa gesi za greenouse kutoka kwa sehemu za viwanda. Mfumo wa ikolojia hupona polepole kwa viumbe wanaokaa tu ambao huzaana polepole. Inaweza kuchukua karne nyingi kwa misitu kuwa sawa. Kwa hivyo, mikataba wa Geneva inahitaji mataifa yaliyo vitani kulinda mazingira asili dhidi ya "uharibifu mbaya sana na mkubwa sana wa muda mrefu", na kuharamisha mbinu au njia za kivita "zinazokusidia au zinazoweza kutarajiwa"kusababisha uharibifu kama huu. Uharibifu kama huo bila shaka unatokana na matumizi ya silaha za kinyuklia. Katika Chernobyl Ukraine, ambapo kinu cha kinyuklia kililipuka mwaka wa 1986, matumizi mengi ya mchanga yamekuwa sawa kwa miaka 30, lakini athari nyingine kwa mfumo wa ikolojia yatadumu kwa muda mrefu zaidi. Hatari kwa mazingira kutokana na matumizi ya silaha kadhaa za kinyuklia inajumuisha uwezekano wa 'kibaridi cha nyuklia' na ukuwaji wa chini wa mimea kwa miaka kadhaa.

Kufeli kwa utawala.

Majengo na miti iliyoharibiwa na vita katika Chechnya ©
Majengo na miti iliyoharibiwa na vita katika Chechnya ©

Vita vinaashiria kufeli kwa utawala. Binadamu wamebadilika kama viumbe wa kijamii na wa kushindana. Kwa sababu za hatari za ushandani mkubwa, sheria za kijamii ziliundwa kuthibiti tabia za kila mmoja katika jamii. Hivi karibuni, Umoja wa Mataifa na majukwaa mengine ya kimataifa yaliweka rasmi makubaliano ya kimataifa ya viwango mwafaka vya tabia katika jamii, kwa mfano kupitia mkataba wa Geneva. Jamii hubadilisha sheria zao za kindani mara kwa mara, lakini zinahitaji kufanya hivyo kwa kasi yao wenyewe. Mawasiliaso ya kisasa yanaweza kuharakisha mabadiliko lakini habari zisizo za kweli zinaweza kuleta uhasama na kusababisha makabiliano.

Athari zisizo za moja kwa moja na uwezekano wa suluhisho la kimataifa-na-mashinani

Bata maji aogelea kwa amani karibu na meli ya kivita © Ellen6/Shutterstock
Bata maji aogelea kwa amani karibu na meli ya kivita © Ellen6/Shutterstock

Athari za kivita zisizo za moja kwa moja huja ziwe haribifu zaidi ya zote kwa mazingira. Binadamu amehitaji kupigana vita dhidi ya Covid-19, lakini anakumbwa na tishio kubwa zaidi kutoka kwa mabadiliko ya hali ya hewa. Kujiokoa dhidi ya tishio hilo kunahitaji umoja kati ya mataifa, vilevile uchumi wa kitaifa ulioimarika kugharamia mabadiliko ya nishati inayotumika tena. Mashambulizi ndani na kati ya mataifa hayadhuru tu uchumi wa kitaifa bali pia yanavuruga umaakini wa umma dhidi ya umuhimu wa kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Mashambulizi haya yanaweza kuimarishwa kati ya mataifa kwa kuweka vizuizi kwa usambazaji wa habari na kati ya mataifa kwa kugawanya upatanisho-wa-kimitandao. Kwa hivyo, wenyeji wanaosimamia ardhi na viumbe wanaweza kutokubali maslahi mengine ya mazingira,badala ya kuunda tamaduni za pamoja dhidi ya mabadiliko ya mazingira ,maoni yanapoelekezwa katika sehemu tofauti na mitandao ya kijamii.

 

Hata hivyo, mitandao huunda nafasi za utawala zilizo na nguvu kama tishio lake kwa uadilifu wa tamaduni. Kama vile makubaliano ya hiari huongoza Umoja wa Mataifa, pia huongoza makubaliano ya maslahi mengi ni misingi ya uongozi wa mashinani. Mitandao huwezesha utawala wa kimataifa ulio mashinani, kwa mfano